TAARIFA ILIYO TOLEWA NA FIFA KUHUSU TIMU YA TANZANIA AU TAIFASTARS
Tanzania 🇹🇿 imeshuka nafasi tano kwenye viwango vya FIFA vilivyotolewa leo Novemba 19, 2025.
Kwasasa Tanzania inashika nafasi ya 112 kutoka nafasi ya 107 ambayo ilishika mwezi uliopita (Oktoba 16, 2025)
🫵Je wewe binafsi taarifa hii umeipokeaje????
