MATOKEO TUZO YA GOLI BORA KATIKA MASHINDANO YA CAF CHAMPIONS LEAGUE
Mshambuliaji wa Young Africans, Clement Mzize 🇹🇿 ameshinda tuzo ya goli bora kwenye tuzo za CAF 2025.
Goli lake dhidi ya Tp Mazembe 🇨🇩 limempa tuzo hiyo.
Ingawa hakuweza kuhudhuria kwenye hafla hiyo kutokana na jeraha, Mzize alituma ujumbe wa video wenye shukrani kwa wote waliomuamini na kumsaidia kufikia mafanikio hayo.
#CAFAwards2025
