UAMUZI WA COACH MKUU WA REAL MADRID

 AMEANDIKA HIVI

Kwa MUJIBU wa Jarida maarufu la michezo la Marca wanaripoti kuwa Real Madrid wamefanya uamuzi wao: wanamuunga mkono Xabi Alonso kikamilifu.


Ujumbe kutoka ndani ya klabu unasema: “Xabi ndiye bosi, yuko juu ya wachezaji wote bila kujali umuhimu wao. Yeye ndiye kiongozi wa mradi huu na hakuna hata chembe ya shaka juu yake.” 




Post a Comment

Previous Post Next Post