TAARIFA NJEMA KWA MASHABIKI WA REAL MADRID ๐จ Taarifa njema kwa mashabiki wa Real Madrid na taarifa mbaya kwa mashabiki wa Barcelona ni kwamba Golikipa wa Real Madrid Thibaut Courtois na Mshambuliaji wake Kylian Mbappe wote watakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Barcelona