TAARIFA NJEMA KWA MASHABIKI WA REAL MADRID


🚨 Taarifa njema kwa mashabiki wa Real Madrid na taarifa mbaya kwa mashabiki wa Barcelona ni kwamba Golikipa wa Real Madrid Thibaut Courtois na Mshambuliaji wake Kylian Mbappe wote watakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Barcelona




Comments

Popular posts from this blog