Posts

Showing posts from May, 2026
Image
 ✍️๐Ÿ†๐‡๐Ž๐๐†๐„๐‘๐€ ๐๐€๐‘๐‚๐„๐‹๐Ž๐๐€ ๐Š๐–๐€ ๐Š๐”๐–๐€ ๐Œ๐€๐๐ˆ๐๐†๐–๐€๐Ÿ’™❤️
Image
 Washika Mitutu, Arsenal wameendelea kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Wagonga Nyundo, West Ham United katika dimba la London. FT: West Ham United 0-1 Arsenal ⚽ 83' Trossard MSIMAMO EPL ๐Ÿ” 2️⃣ 1. Arsenal — pointi 79 — mechi 36 2. Man City — pointi 74 — mechi 35
Image
 ๐Ÿšจ ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Mchezo wa Barcelona dhidi ya Real Madrid leo unatarajiwa kutazamwa na watu wengi zaidi Duniani kuliko mchezo wowote Duniani katika mashindano ya ndani Mchezo wa Leo wa El Clasco unatarajiwa kutazamwa na watu Milioni 900+ na utarushwa katika Nchi 190 Duniani kote. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ๐Ÿ”ฅ
Image
 ๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Super Lig ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท  GALATASARAY FK 4️⃣➖️2️⃣ ANTALYASPOR  ⚽️ 56" Lemina ⚽️ 45" Dikmen  ⚽️ 66" Osimhen (p) ⚽️ 62" Dikmen  ⚽️ 88" Osimhen  ⚽️ 90+5" Ayhan ✍️ OFFICIAL Galatasaray FK mabingwa wa Ligi kuu Uturuki.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท
Image
 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi in Inter Miami 4-2 win ๐Ÿ†š Toronto: ⏱️ 90 minutes played ⚽️ 1 goal ๐ŸŽฏ 2 assists ๐ŸŽฏ 87% accurate passes ✨ 4 chances created ๐Ÿ‘Ÿ 74 touches ๐Ÿ›ก️ 1 tackle ๐Ÿ”„ 3 recoveries ๐Ÿ’ช 6 duels won ⭐ 9.2 match rating MOTM. ๐Ÿ”ฅ
Image
 ๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : La Liga ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ  ATLETICO MADRID 0️⃣➖️1️⃣ CELTA DE VIGO                                                 ⚽️ 62" Inglesias
Image
 NBC Premier League 25/26  ➡️⚽ Mchezo Umemalizika  ⚪4️⃣ ๐Ÿฆ1️⃣ ⚽ Kitambala  ⚽ Ng'azi  ⚽⚽ Mapaka  ⚽ Chobwedo  Umeyapokeaje Matokeo Haya?
Image
 TAARIFA NJEMA KWA MASHABIKI WA REAL MADRID ๐Ÿšจ Taarifa njema kwa mashabiki wa Real Madrid na taarifa mbaya kwa mashabiki wa Barcelona ni kwamba Golikipa wa Real Madrid Thibaut Courtois na Mshambuliaji wake Kylian Mbappe wote watakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Barcelona
Image
 ๐Ÿšจ FAINALI YA MWISHO RASMI EUROPA LIGI Mei 20-2026 ๐ŸŸ 22:00 - Freiburg FC ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช ⚔️ Aston Villa FC ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Image
 ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Fede Valverde na Aurรฉlien Tchouamรฉni HAWATACHEZA El Clรกsico, Ripoti ya Athletic. ❌ Klabu inafikiria kwa dhati KUWATENGA na timu nyingine. ⚖️