MATOKEO YA MECHI YA KIRAFIKI WALIO CHEZA SIMBA


 Kikosi cha Simba kimeibuka na ushindi wa mabao 6-0 katika mchezo wa kirafiki wa kimazoezi dhidi ya JKT Tanzania uliopigwa Uwanja wa Meja Jenerali Michael Isamuhyo.

Mchezo huo ulianza kwa kasi huku timu zote zikishambuliana kwa zamu na matumizi akili na mipango yakiwa makubwa kwa pande zote.

Kutokana na mbinu za makocha wa pande zote timu zilienda mapumziko zikiwa hazijafungana licha ya kosa kosa za hapa na pale.

1 Comments

Previous Post Next Post