CHAGUO JIPYA LA KOCHA WA SIMBA
π¨ TETESI ZA USAJILI SIMBA SCπ¦
Inaeleza kuwa Simba SC inamfuatilia saini ya mshambuliaji wa shekhukhune ya pale nchini Africa Kusini katika dirisha kubwa la usajili! πΏπ¦ ✈️πΉπΏ
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 22 , anasifika kwa:
• Kasi kubwa akiwa na mpira
• Uwezo wa kupiga chenga na kupenya pembeni
• Kutengeneza nafasi na kutoa pasi za mwisho (assists)
• Kucheza kama Left Winger, lakini pia anaweza kucheza Right Winger na Centre Forward
Je, unadhani atakuwa nyongeza sahihi kwa Simba SC? π€π

Comments
Post a Comment