MISRI YAISHUTUMU ARGENTINA

 ⚠️ MISRI WAISHUTUMU ARGENTINA! 🫵🤯


Kocha wa Misri, Hossam Hassan, amedai kuwa maslahi ya kifedha ndiyo yaliyoiwezesha Argentina kuendelea kwenye mashindano.


🗣️ "Yote yanahusu fedha. Wanataka Messi aendelee kubaki kwenye mashindano. Kwenye soka, mambo mengi hutokea nje ya uwanja kutokana na maslahi."


💬 "Kilichotokea hakikuwa cha haki. Misri ilistahili kufuzu. Tulikuwa timu bora dhidi ya Argentina."



Comments

Popular posts from this blog