THIBAUT KUJIONDOA KWA MUDA
Thibaut Courtois ametangaza nia yake ya KUJIONDOA KWA MUDA katika timu ya taifa ya Ubelgiji na kupumzika baada ya Ubelgiji kuondolewa kwenye Kombe la Dunia na Hispania. 👋🏻🇧🇪
🗣️ Courtois:
“Nataka kupumzika kwa mwaka mmoja bila kucheza mechi yoyote ya Ubelgiji, kisha nirejee kwa mechi za kufuzu EURO pamoja na michuano ya EURO 2028. Sijui kama Shirikisho la Soka la Ubelgiji litakubali ombi hili.”
Unadhani ni uamuzi sahihi?

Comments
Post a Comment